Wakati Rihanna akianza mwaka vizuri kwa kupata mtakaba mnono kutoka kampuni ya Puma ambapo amepata bonge la dili ya kufanya matangazo za bidhaa mpya kutoka kampuni hiyo ambapo ameanza kufanya matangazo hayo na picha zimeanza kutoka kwenye Facebook,Instagram na twitter, kama watu walivyotegemea kwa Rihanna atafanya matangazo ya kawaida lakini sivyo ilivyokuwa na badala yako amepiga picha akiwa uchi huku akuwa amevaa chupi za puma picha ziko hapa chini
Rihanna ambaye amepewa cheo cha Creative director kwenye kampuni hiyo ya Puma.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment