Baada ya kurudi nyumba mwanaume huyo alikiri kuwa na wasichana ambao alikuwa akilala nao nje ya ndoa yake, na mkewe baada ya kuambiwa hivyo alianza kumlaumu na kumuliza kwanin hakutumia kinga.Licha ya mwanaume kuwa na michepuko nje ya ndoa yake lakini ilikuwa tofauti kwa mkewe ambaye alikuwa muaminifu kwa mumewe ndipo alipokasirika na kumchoma na maji ya moto kwa mujibu wake anasema mumewe anabahati sana kutokana na kwamba hakumwambukiza laiti kama angelikuwa kamuambukiza basi angefanya kitendo cha kikatili zaidi ya kumchoma na maji ya moto mumewe.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment