|
Siku
ya mkesha wa mwaka mpya kulifanyika Bonge la Party ndani ya Ukumbi wa
Matei lounge ambapo team nzuma ya Endeless Fame walikinukisha pande hizo
huku kukiwa na maelfu ya wakazi wa Dodoma waliohudhuria Party hiyo.. |
|
Katika
Party hiyo wema Sepetu alipoingika katika ukumbi wa Matei Lounge
alikuwa yuko poa yani namaanisha alikuwa hajagida kilevi chochote...Ila
baada ya muda wa kama Nusu saa Madam Wema alionekana kuwa karibu na
Meneja wa Boss Ngasa Tz ambaye anajulikana kwa jina la Meneja Erick
Mshana ambapo madam ndio alikuwa anapenda kumwita kila saa.. |
|
Paparazi
wetu bila hiyana akaendelea kwenda na Muvi..wenyewe wakaitana kimya
kimya kwa pembeni yani nyuma ya back stage kilichoendelea huko hakuna
aliyeyekijua ila waliingia ndani ya gari mara gafla madam akaibuka huku
akiwa amechangamka kwa sana namna ya kupepesuka.... Wema akaanza uchizi
wake sasa wakukata mauno back stage akiwa hana hata mshipa wa Aibu...
baada ya hapo akapanda stejini Kiukweli madam alipiga bonge la show huku
akiwa na mzuka kinoma noma na kumaliza show yake vizuri na baada ya
hapo wakaelekea Maisha club ambapo huko nako ilikuwa ni balaa tupu. |
|
Wema sepetu akiwa na Erick Mshana Meneja wa Boss Ngasa Tz |
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment