Muonekano wa gari la Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' baada ya kupinduka. Mbunge huyo akiwa pembeni kushoto.
Mbunge
wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi, akiwa na wenzake watatu akiwemo Katibu
wake, Kwame Anangise, Eddy na Kiboya wameumia na kukimbizwa hospitali
mjini Iringa baada ya gari lao kupata hitilafu ya breki na kupinduka mlima Kitonga leo.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment