Staa kutokea Nigeria, D’Banj amekuletea hii video mpya ya single yake
iitwayo Feeling the nigga ambayo katika video ameonekana aliyekuwa
mwakilishi wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots
2014 Tayo.
Itazame hapa
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye video hiyo ikiwemo ya aliyekuwa
mwakilishi wa Nigeria kwenye Big Brother Africa Hotshots Tayo
.
.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment