Msanii wa kund la Tip Top Connection Tunda Man baada ya kufanya
vizuri kwenye video ya hit song Msambinugwa aliyomshirikisha Ali Kiba
time hii anakualika kuitazama hii video yake mpya iitwayo Mapenzi yale
yale
Ukishamaliza kuitazama hapa mtu wangu usisahau kuniandikia ya moyoni
ili Tunda Man akipita hapa asome kutoka kwa watu wake wa nguvu..
Itazame hapa
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment