
Wakati mwingine watu wanashindwa kustahimili maumivu ya
mapenzi na kufikia hatua kama hii
Dada huyu alichumbiwa na walikuwa wako vizuri tu na mpenzi
wake ila wakati wa hatua za mwisho za Kukamilisha ndoa au hatua za mwisho za uchumba ndipo pale watu
wanapo msingizia shetani, kwamba ni shetani alinipitia ila kwa dada huyu yake
bahati mbaya kwani iligundulika na mpenzi wake kuwa kashaanza kuibiwa mapema
kabla ya kuingia kwenye ndoa ndio mtego ulipo wekwa kwa ajili ya kumnasa mdada
huyu pale anapo iba, za mwizi 40 ndipo siku ilipo fika jamaa hakuamini kuwa
mwanadada aliye mpenda na kumjali kwa kila kitu angemfanyia usaliti kiasi
kile,kama tunavyo jua hasira ni hasara jamaa alishusha kichapo cha maana kwa
dada huyu na kusababisha majelaha makubwa kwa mwanadada.
Kipi cha kujifunza kwako mdada au mkaka katika hili? Naamini duniani
sote ni wapitaji ila
Umakini katika maisha unatakiwa wa hali ya juu, langu moja
michepuko haifai tulia na mmoja kujenga Tanzania yenye watu wenye afya bola. Mshauri
kijana mwenzako pale usomapo habari hii.CHANZO; BONGO PLUS.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment