Nafasi za kujiunga na kidato cha tano
mwaka 2014 kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi muda
huu jijini dare s salaam na naibu waziri wa TAMISEMI Bw KHASIM
MAJALIWA ambapo zaidi ya wanafunzi 16800 wamekosa nafasi hizo kutokana
na sababu mbalimbali ikiwemo upungufu wa shule za kidato cha tano….Akitangaza majina na shule walizopangiwa
wanafunzi hao Mh MAJALIWA amesema kuwa jumla ya wanafunzi 54085 sawa na
alimilia 75.61 ya wanafunzi 71527 waliostahili kuingia kidato cha tano
mwaka huu wamechaguliwa huku wavulanai ni 31352 wakati wasichana ni
22733 ambapo ni sawa na ongezeko la wanafunzi 20402 kwa kulinganisha na
wanafunzi 33683 walochaguliwa mwaka jana.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na
shule mbalimbali wataanza kuripot katika meneo yao tarehe 10 julai mwaka
huu ambapo mwisho wa kufika katika shule walizopangiwa ni tarehe 30
julai mwaka huu ambapo amesema kuwa kwa wale ambao watakuwa hawajaripot
hadi tarehe hiyo nafasi zao zitajazwa na waliokosa nafasi.
——————————————–
Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano mwaka 2014
——————————————–
Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano mwaka 2014
1. Wasichana — Shule Zote << BOFYA HAPA>>
2. Wavulana — Majina ya Shule A Mpaka L << BOFYA HAPA>>
3 .Wavulana — Majina ya Shule M mpaka Z << BOFYA HAPA >>
3 .Wavulana — Majina ya Shule M mpaka Z << BOFYA HAPA >>
Post a Comment