
Hii inaweza kuwa ni Mara ya kwanza kuisikia ila huko Uganda kwa mara ya kwanza wakati wa siku kuu za mwaka mpya wakati wengine wakiwa kanisani huko sehemu inayoitwa Mukono limefanyika tamasha la kukisiana ambalo liliitwa The kissing festival , ambapo watu hushindana kukiss na mpenzi ama rafiki yako..Tamasha hilo limekuwa Gumzo sana
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment