Msanii anayefanya vizuri kunako kiwanda cha filamu Bongo, Wastara Juma.
Akizungumza na gazeti hili, Wastara alisema tasnia ya filamu imekuwa
ni ya migogoro, chuki huku bei ikishuka jambo ambalo siyo sahihi kwani
litawarudisha nyuma wasanii wakati hata kazi hiyo hailipi kihivyo.“Mimi sitengenezi filamu mpaka nielewane na bosi bei kabisa lakini vinginevyo ndiyo maana nimeamua kujikita kwenye biashara ili niweze kuendeleza maisha ya kila siku maana tasnia haieleweki sasa hivi, naona kama pepo mbaya ametuvamia inatakiwa tumuombe Mungu sana,” alisema Wastara.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment