Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MANCHESTER CITY YALALA NYUMBANI, YACHAPWA 2-0 NA ARSENAL

Santi Cazorla akiifungia Arsenal bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti.
Santi Cazorla akishangilia na wenzake.
Straika wa Arsenal, Olivier Giroud (wa kwanza kulia) akiifungia timu yake bao la pili.
Olivier Giroud akishangilia bao hilo.
Aaron Ramsey wa Arsenal akiwatoka wachezaji wa Manchester City, Jesus Navas (kulia) na Fernando (kushoto) wakati wa mtanange huo.
Kipa wa Arsenal, David Ospina akishangilia ushindi wa timu yake pamoja na beki wake Per Mertesacker (kulia).
KLABU ya Manchester City imepokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Arsenal ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wake wa Etihad jijini Manchester leo.
Katika mechi hiyo ya Ligi Kuu ya England, mabao ya Arsenal yamewekwa kimiani na Santi Cazorla kwa penalti huku la pili likifungwa na Olivier Giroud kwa kichwa.
Kwa matokeo ya leo, Manchester City imeendelea kubaki nafasi ya pili ikiwa na pointi 47 huku ikiwa na pointi 5 nyuma ya vinara wa ligi hiyo, Chelsea wenye pointi 52. Asenal wapo nafasi ya tano wakiwa na pointi 39.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top