Baadhi ya waandaji wa filamu, Chiki Mchoma (kushoto), Wastara na Jimmy Mafufu.
Msanii Bond bin Suleman akichangia hoja.
KUFUATIA baadhi ya wadau kutangaza kushusha bei ya
filamu nchini, baadhi ya wasanii, wasambazaji na watayarishaji
wamejikuta wakigawanyika huku wengine wakionekana kukubali na wengine
kupinga kitendo hicho.
Leo baadhi ya waandaaji hao akiwemo Chiki
Mchoma, Wastara Juma, Jimmy Mafufu, John Lista, Mike Sangu , Bond bin
Suleman na wengineo wamekutana kupinga vikali kutovitambua vikao viwili
vilivyofanywa na baadhi ya wasambazaji wanaopinga kushushwa kwa bei ya
filamu.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment