Mwanamitindo
na stripper maarufu kutoka Miami ‘Estrelle’ amefanya maamuzi ya mugumu
ili kupata muonekano aupendao. Model huyu wa video na matangazo
amekubali kutolewa mbavu zake mbili ili apate umbo namba 8.
Mwana
mitindo huyu alikwenda Miami kwenye hospitali maarufu inayofanya zoezi
hilo ambalo limetajwa kuwa ni hatai sana na kupona kwa mgonjwa inaweza
kuchukua mpaka miezi 6 kupona.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment