Unaposaini mkataba wa kufanya show na Kili Music Tour, hakuna wasiwasi
kuwa milioni nyingi zitaingia kwenye akaunti yako.
Mavuno ya mzee?
Na hakuna kitu kizuri kufurahia pesa iliyoipata kama kumpa mwandani wako
azishike na kuzichezea atakavyo.
Sabuni ya roho
Ndio maana Young Killer (kwa inavyoaminika kutokana na picha) aliamua
kumpa mrembo wake, Halimaty vitita kadhaa alivyovigeuza kama shuka la
kulalia.
Post a Comment