Mpenzi
wangu ana majimaji meupe kama mtindi ulioganda na unatoka kwa mabonge
bonge wakati tukiwa tunafanya yetu, Nimejaribu sana kumwambia ajisafishe
vizuri
sana lakini hayaishi....
sasa
nashindwa kuelewa je ni uchafu wa kawaida kwa mwanamke ? uchafu wa
kawaida kwa mwanamke ? Au ni Ugonjwa ? Naomba Ushauri kwa Anayejua
Utatuzi wa Tatizo Hili
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment