Mara baada ya kuiweka picha hiyo hapo juu ya Irene Uwoya Shamsa aliandika; “Kwa mtazamo wangu mimi katika wanawake wa bongo movie nzima hamna mwanamke anayempata iren kwa roho nzuri, ni mtu ambaye anapenda wenzake, anaweza akatumia hata senti yake ya mwisho ilimradi tu akae na wenzake, si kwamba ni tajiri but ana moyo na mapenzi kwa kila mtu bila ubaguzi..I love u irene wangu” Shamsa alimaliza. Huu ni mtazamo wake tu, msijenge chuki jama
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment