Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Unatamani kuyaona ya Nick Minaj nyuma ya camera? Documentary yake inakuja, icheki teaser yake hapa (Video)

Nicki-Minaj-Talks-Natural-Look-and-New-Album 
Star wa Marekani asiyeishiwa vituko anayehit na ‘Anaconda’ kwa sasa, Nicki Minaj anaandaa documentary inayokuhusu hisia za  (rollercoaster’) kwa ajili ya kufanya albamu yake mpya.
Star huyo ambaye mwezi December aliachia Pinkprint’  atawapa mashabiki wake nafasi ya kufahamu kwa undani mapambano anayokutana nayo  kwenye muziki kupitia Documentary hiyo ya Nicki Minaj: My Time Again’.
Kilichotokea 2014 kati yake na Safaree ni moja ya vitu vitakavyokuwa ndani ya documentary hiyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram na Twitter, Nick Minaj aliandika  ‘I can finally share this! Here’s the trailer for my new @MTV doc #MyTimeAGAIN! (sic).@ 
nick
Unaweza  kutazama teaser hiyo hapa. USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top