Mtangazaji Diva Loveness
love kutoka Clouds Media Group ametoa yake ya moyoni baada ya shabiki
wake kumpiga dongo kuwa anavaa nguo zinazoonyesha mapaja yake kwenye
Instagram.Siku ya jana aliachia post ambayo alisema itakaa kwa mda wa
nusu saa tu kisha ataitoa na katika kubwa alilosema ni kuwa yeye
anauwezo wa kuvaa kaptula mbele ya watoto wake na bado wakawa na heshima
kama kawaida ushahidi huu hapa chini.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment