Mbunge
wa Jimbo la Ilala Mhe Mussa Azzan Zungu akiongea na Waandishi wa
Habari ( pichani hawapo) mara baada ya kupokea vifaa mbalimbali vya
kuhifadhia taka na Sabuni.
Mwenyekiti
wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (wa tatu kulia) akimkabidhi
vifaa vya kuhifadhia taka Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan
Zungu (kushoto), kwa ajili ya Hospitali ya Mkoa wa Ilala Dar es Salam.
kuanzia kushoto nyuma ya mbunge ni Diwani wa kata ya Kinyerezi kupitia
Chama cha Mapinduzi (CCM) Leah Mgitu katikati ni mama mzazi wa Sitti
Mariam Mtemvu, wa kwanza kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala kupitia Chama
cha Mapinduzi Edson Fungo na anaefuatia ni Daktari Kiongozi wa
Hospitali ya Mkoa Ilala
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Under The Sun Tanzania Bi. Vicky Ntetema
(kulia) , akifafanua jambo wakati Mwenyekiti huyo alipotembelea kituo
hicho Afisa
utetezi Bw. Kondo Seif (wa kwanza kushoto) akitolea maelezo ya
ukosefu wa rangi asili mwilini ambayo huathiri ngozi, macho na nywele na
kukosekana kwa melani mwilini, akisema miongoni mwa athari zake ni
wepesi wa kuungua na jua unapotembea juani na ufanyapo kazi juani. Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Under The Sun Tanzania Vicky Ntetema (kulia)
akimuonyesha Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu
(kushoto) Picha ya mtoto alie tekwa akiwa mgongoni mwa mama yake. Wa
pili kushoto ni Mama mzazi wa Sitti.
Post a Comment