Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Nick Cannon na Mariah Carey huenda hii ikawa mwisho…

Mariah Carey 
Ni kama wiki sita hivi zimepita tangu kumekuwa na tetesi za kwamba ndoa ya mastaa wawili, Mariah Careh na Nick Cannon imevunjika.
Story iliyoanza kuenea mitandaoni kuhusu wanandoa hao toka jana iko hivi, Nick Cannon ameandika talaka pamoja na kuanza kufuatilia taratibu za kisheria za kugawana mali kati yake na mkewe, Mariah Carey.
twins 
Cannon amewashangaza mashabiki wake baada ya kuchukua uamuzi huo, japo hii inaweza kumpa wakati mgumu Mariah ambaye mara zote ni kama alikuwa akiamini watarudiana na Nick.
couple
Mariah Carey huenda hii ikamuumiza zaidi, aliwah kusema kuwa hapendi kuona watoto wao mapacha Monroe na Morrocan wanaishi maisha ya kulelewa na mzazi mmoja, japo Nick alionyesha nia ya kuendelea kuwahudumia kwa kila kitu.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top