Boyfriend wa muimbaji wa Uganda, Desire Luzinda, Flanklin Emuobor amevujisha picha za utupu za mrembo huyo.
Raia huyo
wa Nigeria amesema amevujisha picha hizo kwakuwa alichoshwa na tabia za
uchepukaji za muimbaji huyo maarufu ambaye anashutumiwa kutembea na
wanaume kibao.
Jina la Desire Luzinda limetrend kwenye mtandao wa Twitter kutokana na picha hizo huku watu wakiigiza pozi la kwenye picha hiyo.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI. |
Post a Comment