Hawa mastar wa kike wanatukatisha sana tamaa..yaani hata hatuvutiwi kuwashawishi wadogo zetu na watoto wetu kuingia kwenye sanaa kwa maana twaogopa kuwa watatutia aibu mtandaoni kama hawa!!
Bado huwa ninajiuliza sana kuwa hawa wasanii wanafaidika
kwa kipi kukaa uchi mbele ya kamera na mwisho wa siku kutupostia ujinga
wao mtandaoni!
Pengine sisi mashabiki ndo tunawafanya washawishike
kuyafanya haya! Lakini ni kweli kwamba huwa tunapenda sana kuona uchi wa
wasanii kama lulu ama ni wenyewe tu ndio wanataka tuuone?
Post a Comment