Usiku wa Jana haukuwa Usiku wa kawaida kwa huyu jamaa...Alikuja kwa shingo upande tu pale Ukumbini na HAKUTEGEMEA...HAKUJUA...HAKUTARAJIA...HAKUDHANI...Lakini...
Yeye ndio alikuwa na NYOTA KALI... Jioni ya leo atakuwa na Washindi wenzake pale AZURRA BEACH wakila BATA kwenye AFTER PARTY ya kujipongeza kwa Kushinda Gari Mpya Usiku wa Kuamkia Leo...
Haya wale mademu wanaopenda mteremko wa Kitonga Kijana mwenye Nyota Na Bahati ndo huyooo kama vipi zile I LOVE YOU BABE LONG TAIM zianze....ANAITWA
mussa_mswaki
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment