Picha hizi amepiga akiwa kwenye red carpet ya CFDA Fashion Awards huko New York.
Rihanna
amewahi kuacha gumzo mara nyingi kutokana na picha zake zinazosambaa
mtandaoni. Mara nyingine tena picha za Rihanna ndio zinakuwa picha
zinazoangaliwa sana hivi sasa kwenye mtandao.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment