Siku ya jumapili kwenye Summer Jam Hip Hop na R&B, Nicki
Minaj alionekana akiwa amevaa ki top cha silver chenye kuonyesha maziwa yake
kikiwa kimezibwa na alama ya nyota kwenye nipples zake.
Mambo yalizidi kuwaka moto zaidi pale Nicki Minaj
alipomrukia Drake kwenye stage na kuzungusha miguu yake kwenye kiuno cha Drake
na kumuwekea mikono mabegani na Drake nae kuzungusha mkono wake kwenye kiuno
cha Nicki,
kitu ambacho hakikumfurahisha Rihanna ambae alionekana
kuweka sura ya mbuzi alipokuwa akitazama waliyokuwa wanayafanya stajini.
Rihanna na Drake kwa sasa wameachana aada ya kurudiana mda si mrefu
tanguwalipoaznza kudate mwaka 2009 baada yakupokea kipigo kutoka kwa Chris
Brown.
Post a Comment