Washiriki
wa Miss Mbagala 2014 wakiwa katika pozi la pamoja leo hii katika ofisi
za Global Publishers zilizopo Bamaga- Mwenge, Dar.
Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (Kulia) akiwapa maelekezo.
...Washiriki wa Miss Mbagala wakisikiliza jambo.
Mhariri wa Championi Jumamosi, Shaban Mbegu (Mwenye shati la bluu) akiwaelekeza jinsi ya kuandaa habari.
Mhariri wa Championi Jumamosi, Shaban Mbegu (Mwenye shati la bluu) akiwaelekeza jinsi ya kuandaa habari.
WASHIRIKI wa mashindano ya Miss Mbagala
2014 ambayo yanatarajia kufanyika tarehe 7, Juni mwaka huu katika Ukumbi
wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, leo hii wametinga katika
ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga- Mwenge, Dar kuangalia jinsi
shughuli za uendeshwaji wa magazeti ulivyo.
Post a Comment