Featured

    Featured Posts

    Udaku

    Social Icons

    Udaku

Loading...

THIS IS DIAMOND PLATNUMZS! CHEKI ANAVYOWAKIMBIZA!

Msanii wa muziki wa Bongo Flavour kutoka Tanzania Diamond Platnumz amekuwa akiongoza katika upigaji kura wa kuwania tuzo za Muziki wa Televisheni ya Watu Weusi Marekani (Black Entertainment Television-BET) katika kipengele cha Best International Act: Africa. Tuzo hizo zitatolewa jijini Los Angeles, Marekani Juni 29.
Mpaka jioni hii Diamond alikuwa anaongoza kwa asilimia 75.79.

diamond BET

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright 2025 BONGO HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top