ALIYEKUWA dairekta na muigizaji mkali Bongo, marehemu Adam Kuambiana
alimtabiria staa wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ kuwa atajifungua
mtoto wa kiume.
Staa wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’.
Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, Recho ambaye ni wa leo wa
kesho kujifungua, alikutana na marehemu maeneo ya Sinza jijini Dar na
kumwambia atajifungua mtoto wa kiume na angependa aitwe Kuambiana.
Baada ya kupata habari hiyo, paparazi wetu alimvutia waya Recho ambaye alitiririka:
“Yaah! Kwanza alinipongeza kwa kuamua kubeba mimba, pili akaniambia
nitajifungua kidume na nimuite jina lake, tuombe Mungu nitakapojifungua
tutajua.”
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment