WAANDISHI WETU WAPENZI? Kwa mara nyingine
Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu amesababisha kichwa cha habari
kufuatia kunaswa ‘live’ usiku mnene akiwa na mshindi wa Shindano la Big
Brother Hotshots 2014, Idris Sultan wakioneshana vitendo vya ‘nakupenda...
Loading...
AIBU KUBWA MREMBO ADAKWA KWA WIZI HOSPITALI!
MREMBO mmoja aliyejulikana kwa jina la Mariam Moshi (23), mkazi wa
Mwananyamala Ujiji, aliponea chupuchupu kuuawa na wagonjwa wenye hasira
kali waliolazwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar baada ya
kudaiwa kuiba nguo.
Mariam...
Filed Under:
HABARI
on
KWAKO Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima.
Pole sana kwa masaibu yaliyokupata na bila shaka, Mwenyezi Mungu mwingi
wa rehema, atakujaalia afya njema hivi karibuni.
Binafsi mimi mwananchi wa kawaida nisiyekuwa...
Filed Under:
HABARI
on
WAUMINI WA GWAJIMA WAFUNGA SIKU 40
WAKATI mambo yakiwa bado tete juu ya afya ya kiongozi wa Kanisa la
Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Mchungaji Josephat Gwajima,
wafuasi wake wametangaza kufunga kwa muda wa siku 40 kuanzia juzi
Jumatatu ili kuomba.
Mchungaji Josephat...
Filed Under:
HABARI
on
UNYAGO WA KICHINA NA WANAWAKE WA KISASA, BALAA TUPU
Kama kawa nimerudi tena nikiwa na hasira kama faru aliyejeruhiwa,
nakuuliza hivi kwa nini lakini? Tabia hiyo ndo uliyofundwa mkoleni?
Jamani kabila lako si ndiyo mafundi wa kuwaweka ndani wanawari,
mnafundishwa nini, kuogea machicha ya nazi?
Loh!...
Filed Under:
udaku
on
Migomo yaendelea kutikisa kila kona nchini Tanzania ambapo Tabora wafanya biashara nao wagoma.
Wananchi
manispaa ya Tabora wamekuwa katika wakati mgumu wa kununua bidhaa mbali
mbali baada ya wafanyabiashara wa maduka yote ya maeneo ya soko kuu
mjini humo, kufanya mgomo wa kushitukiza wakiishinikiza serikali kwa
mambo...
Filed Under:
HABARI
on
Baada ya Mahojiano, Gwajima Aachiwa kwa Dhamana, Kwenye Hii Kesi Nani Mlalamikaji ?
Taarifa
zimeenea kuwa baada ya Kutoka hospitalini Gwajima alikwenda moja kwa
moja Kituo cha polisi Ostabey kwa ajili ya kumaliza mahojiano yake na
Polisi kuhusu kumtukana Askofu Pengo...Baada ya mahojiano Askofu Gwajima
Ameachiwa Huru kwa...
Filed Under:
HABARI
on
Faraja Kota Nyalandu 'Sio Lazima Ujue Kila Kitu Kila Wakati na Hutokaa Ujue Kila Kitu Kila Wakati'

Sio wakati
wote utakuwa na majibu. Sio wakati wote utajua kama unapatia au
unakosea. Sio wakati wote utakuwa na uhakika. Ninachotaka kukuambia ni
kuwa; it is okay. Si lazima ujue kila kitu kila wakati. Na hautokaa ujue
kila kitu kila wakati...
Filed Under:
udaku
on
Kutongoza Wanawake Walioolewa ni Rahisi Kuliko Wasioolewa..

Hili sasa halina mjadala au ubishi kuwa kumtongoza mke wa mtu ni rahisi
sana kama kusukuma tairi katika mteremko wa mlima kitonga. Lakini ni
ngumu mno kutongoza hawa wasichana wetu wa kiswaz wana mlolongo mrefu na
usumbufu.
Kwanini hali...
Filed Under:
udaku
on