Polisi kenya ambao walikuwa wakifanya uchunguzi juu ya kifo cha mtoto wa
waziri mkuu wa zamani wa nchini hiyo Raila odinga, Fidel Odinga na
Repoti ya polisi inasema kwamba ndani ya Nyumba yake kulikuwa na risasi
ndogo na risasi ya kurushia bomu na zaidi ya risasi 1900 ndani ya nyumba
yake iliyoke Karen jijini Nairobi,
Pia walifanikiwa kukuta jacket proof zinazotumika kuzuia risasi na miwani za usiku maarufu kama and night vision goggles. Polisi wanasema Marehemu Fidel Odinga alikuwa na usajili wa kumiliki silaha ndogo.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment