Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Umesikia Hii ya Mwanaume kuzikwa ndani ya Hammer na Kutupiwa Dollar Juu ya kaburi lake iko Hapa.


Acheni pesa iitwe pesa kwakweli unaweza kuona kama ni habari za kutunga lakin zipo na zinatokea kila siku, Kufuru walioifanya jamaa wa Nigeria kwa kumzika ndugu yao ndani ya Gari aina ya Hammer na kutupa na pesa juu badala ya kumzika kwenye Jeneza kama ilivyokawaida , familia hii ya kitajiri imefanya kufuru ya aina yake na haijawahi kutokea Nigeria yote toka imepata Uhuru hii ikiwa ni ripoti ya waandishi wa habari kutoka Nigeria na wazee ambao walikuwa mashuda katika msiba huo


USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top