January 4 mwaka 2015 Kenya imeingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mtoto wa Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, fidel Odinga ambaye alifariki nyumbani kwake ghafla baada ya kurudi kutoka matembezi na kufikia kumpumzika na hadi umauti ulipomkuta. Leo mwili wa marehemu Fidel Odinga umesafirishwa na Ndege ya jeshi la kenya Kenya Air Force hadi katika mji wa kisumu ambapo msafara wake utaanzia hapo hadi kwenye kijiji cha Opoda kilichopo kisumu Kenye na tayari kwa maziko siku ya kesho Jumamosi tarehe 8 January nimekuletea picha hizi kutoka kenya
Picha zote kwa Hisani ya Mpasho News Kenya
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment