Mwanamke aliyepoteza maisha katika ajali hiyo enzi za uhai wake.
AJALI mbaya iliyolihusisha basi la Mrindoko
Trans na gari dogo lililokuwa linaendeshwa na mwanamke anayedaiwa kuwa
mke wa mmiliki wa Hoteli na Klabu ya AQ iliyopo jirani na stendi ya
mabasi jijini Arusha ilitokea jana jioni maeneo ya Kikatiti mkoani
Arusha.
Katika ajali hiyo, mwanamke huyo alifariki dunia papo hapo.
Post a Comment