Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAHABA NIUE...!! WANAWAKE NCHINI UGANDA WAMSIFIA DIAMOND PLATNUMZ KWA JINSI ANAYOMDEKEZA ZARI!!

 

Diamond Platnumz ameamua kuwapa darasa wanaume wa Afrika Mashariki jinsi wanavyotakiwa kuwatreat wapenzi wao and actually wanawake wa Uganda na kwingineko, wamekoma na mbwembwe za hitmaker huyo wa ‘Number One’ kwa mpenzi wake, Zari Tlale aka The Bossslady.
Diamond anaendelea kujichukulia tu marks kutoka kwa mrembo wake huyo wa UG, kwa kumfanyia ‘mandingo’ ambayo utafiti unaonesha kuwa ndio yanayowapagawisha aka kuwadatisha zaidi wanawake. Na pengine huenda staa huyo amempenda kupita kiasi mrembo huyo kwakuwa hatukumbuki kama Penny na Wema wamewahi kupewa huduma hizo kama anazozipata Zari.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top