Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya
Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema
Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi
na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.
Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.
Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa tutakujuza.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment