Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Wanaume waliooana wapunguziwa hukumu


Wanaume waliooana Misri wapunguziwa hukumu jela
Mahakama moja ya Misri imepunguza hukumu ya watu wanane waliodaiwa kushiriki katika ndoa ya watu wa jinsia moja kutoka miaka mitatu hadi mwaka mmoja. Mwezi Uliopita ,wanane hao walipatikana na hatia ya kuchochea uasherati. Walishtakiwa baada ya kanda moja ya video kusambaa katika mitandao ikiwaonyesha wakisherehekea katika boti moja lililokuwa mto Nile huku wanaume wawili wakionekana wakivalishana pete na kukumbatiana.Watu hao baadaye walikataa kwamba ilikuwa harusi ya watu wa jinsia moja.Ushoga ni kinyume na utamaduni wa Misri ,ijapokuwa si kinyume na sheria.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top