Akijifanya kuwa yeye ni Shilole, ambae
mwigizaji na mwanamziki maarufu hapa Bongo. Hebu tusaidiane kusoma hii
NGELI alioitoa hapa.
Baada ya taarifa hizi kumfikia Shilole mwenye hiki ndicho alichokisema.
“Nimetumiwa hii pic na kaka yangu dully sykes kuhusu hii account fake ya Facebook na najisikia vibaya coz si Mimi na kama unatumia jina langu kama shabiki yangu sawa ila usiandike habari za uongo na zisizoeleweka .ila Nina fanpage tu ya Facebook inayoitwa shilole kiuno na nna account twitter pia inaitwa shilolekiuno.so msidanganyike nje ya majina hayo.nawapenda Sana na tusaidiane kuwaambia na wengine.”
Post a Comment