STAA wa filamu za Kibongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ ameamua kuhama jiji la Dar kwa nia ya kumkimbia Bob Juniour ambaye hakuthamini penzi lake.
Staa wa filamu za Kibongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi.
Akizungumza na waandishi wetu, Sabby alisema kuwa ameona Bob Junior
hamthamini ndiyo maana ameamua kukimbia na kuelekea nchini Kenya
akaendelee na maisha yake kwani anao uwezo wa kukaa ‘single’ na kufanya
maendeleo.
Sabby Angel akiwa na Bob Junior.
“Nimeamua kuhamia jijini Nairobi nchini Kenya ili kufanya mambo yangu
ya maana, siwezi kukaa na mwanaume ambaye hana future’, Nairobi
nimefungua kampuni yangu kubwa acha nifanye kazi kwanza,” alisema Sabby.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment