Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mabibi na Mabwana, Mirror katuletea hii video mpya yenye dakika 4 itazame hapa


.

.Mirror ni msanii ambae yuko chini ya usimamizi wa kampuni ya Endless Fame mwigizaji Wema Sepetu time hii amekuletea hii video mpya ya single ‘Kolo Kolo’ imeongozwa na Meja.Itazame hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Mirror akipita hapa asome kutoka kwa watu wake wa nguvu..
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top