Wiki kadhaa zimepita tangu staa wa kike wa Bongo movie, Jacqueline Wolper aamue kujichora tatoo mpya kwenye mkono wake good news ni kwamba kuna staa mwingine wa Bongo fleva ameingia kwenye headline baada ya kuchora tatoo.
Hitmaker wa single ya Kizunguzungu,Rachel kupitia instagram ameweka video yenye sekunde 15 ambazo zikimuonesha akichorwa tatoo mpya mkono huko London ambako alienda kwaajili ya show yake.
Itazame hapa
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment