Msanii mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koletha’
Akipiga stori na gazeti hili, Koletha alisema kutokana na kwamba anazijua tabia zao kwani anafanya nao kazi pia wakati alipoanza fani hiyo alijiapiza kwamba hatakuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtu anayefanya naye kazi.“Sijawahi kutoka na msanii na siwezi kutoka nao kimapenzi kwa sababu ni kitu ambacho nimejiapiza halafu pia inapunguza ufanisi wa kazi hivyo sina hata wazo la kuwa nao kwa kweli, mimi huwa nakuwa na uhusiano na watu wa kawaida,” alisema Koletha.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment