Naibu Meya, Songoro Mnyonge (kushoto), Mstahiki Meya wa manspaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (katikati) na Injinia Musa Natty.
Diwani kata ya Kunduchi, Janeth Rite, akisisitiza jambo.
Baadhi ya madiwani kwenye kikao.
Diwani kata ya Mabwepande.
Diwani Kata ya Sinza, Renatus Pamba, akiwasilisha taarifa yake.
Baadhi ya wadau wa baraza hilo.
MADIWANI wa Manispaa ya Kinondoni, leo wamefanya
kikao cha pili na kutoa taarifa ya utekelezaji wa kipindi cha bajeti
mwaka uliopita kuhusu elimu, mazingira na mipango miji.Kikao hicho kimefanyika chini ya Mstahiki Meya, Yusuph Mwenda.
(GPL)
Post a Comment