Mjumbe
wa Kamati kuu ya CCM na mlezi wa mkoa wa Simiyu Jerry Silaa akiongea na
wananchi wa kijiji cha Mwamhongo wilayani Meatu, mkoa wa Simiyu. Ndg.
Jerry Silaa amechangia mabati 50 kusaidia ujenzi wa zahanati katika
kijiji cha Mwamhongo kata ya Mwasengela kilometa 94 toka makao makuu ya
Wilaya ya Meatu. Ndg.Jerry amekuwa kiongozi wa kwanza wa Chama chochote
wa ngazi ya Taifa kukanyaga ardhi ya Kijiji hiki.
Mjumbe
wa Kamati kuu ya CCM Jerry Silaa ambaye ni Mlezi wa mkoa wa simiyu leo
katika siku ya sita akikagua utekelezaji wa ahadi ya Mhe Rais Dr.Jakaya
Kikwete ya ujenzi wa barabara za lami kilometa 3 kwenye mji wa Mwanhuzi
makao makuu ya Wilaya ya Meatu. Kazi imefanyika kwa asilimia 40 na
itakamilika mwezi wa tatu mwakani.
Ujenzi
wa barabara za lami kilometa 3 kwenye mji wa Mwanhuzi makao makuu ya
Wilaya ya Meatu. Kazi imefanyika kwa asilimia 40 na itakamilika mwezi
wa tatu mwakani.
Kazi za ujenzi wa barabara za lami kilometa 3 kwenye mji wa Mwanhuzi makao makuu ya Wilaya ya Meatu zikiendelea.
Post a Comment