Staa wa filamu hapa Bongo mwenye mvuto wa kipekee, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipozi..
Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Lulu alisema akiwa na
mwanaume anapenda ampite angalau miaka kumi na kuendelea kwa kuwa
anakuwa ni mtu mzima na muelewa siyo masharobaro kila wakati wanafikiria
jinsi gani wataonekana smati na si kufikiria maisha.“Masharobaro hawana nafasi kwangu, kwa sababu hawafikirii maisha kabisa, hata mwanaume atakayenioa nafikiri atanipita zaidi ya miaka kumi, hapo ndiyo itakuwa sawa tofauti na hivyo sitaki masharobaro,” alisema Lulu.
Post a Comment