Liverpool iliuona uwanja wa Selhurst Park mchungu baada ya kufungwa 3-1 kwenye mchezo wao dhidi ya Crystal Palace .
Wekundu hao wa huko Anfield walianza kufunga kupitia kwa Ricky Lambert ambaye alikuwa anafunga bao lake la kwanza tangu ajiunge na Liverpool akitokea Southampton .
Wachezaji wa Crystal Palace wakiongozwa na nahodha Mile Jedinak wakishangilia bao la nahodha
wao .
Matokeo haya yanaifanya Liverpool ibaki kwenye nafasi ya 12 baada ya kupoteza michezo 6 kati ya 12 ya msimu huu kwenye ligi ya England .
Mshambuliaji Ricky Lambert akiifungia Liverpool bao lao pekee kwenye mchezo dhidi ya Crystal
Palace.
Kipa wa Liverpool Simon Mignolet akichupa bila mafanikio kuokoa mpira wa adhabu uliopigwa na
Mile Jedinak.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment