Featured

    Featured Posts

    Udaku

    Social Icons

    Udaku

Loading...

MWANAAFA NDIYE MSHINDI WA MILIONI 50 ZA TMT

Mshindi wa milioni 50 za TMT, Mwanaafa Mwinzago.
Mshiriki kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwinzago amefanikiwa kuibuka kidedea na kutwaa shilingi milioni 50 za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Mwanaafa ambaye ndiye mshiriki aliyekuwa na umri mdogo kuliko wote ameshinda kitita hicho katika fainali iliyofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es S

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright 2025 BONGO HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top