Mwigizaji mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema lilitokea siku ambayo
dairekta mkongwe nchini George Tyson alipofariki dunia (Mei 30) ambapo
hakujua ni nani aliyemfanyia ‘unyambilisi’ huo usiku kwani alishtuka
asubuhi na kuona akivuja damu zikiashiria kuchanjwa kwa wembe.
Marehemu Recho Haule enzi za uhai wake.
“Nilijikuta nimechanjwa lakini Mungu ni mwema, waliofanya hivyo kama
walikuwa na nia mbaya, wameshindwa kwani nilikwenda kuombewa kanisani
halitanipata lolote,” alisema Amanda.
Post a Comment