Bi Vogel -Couple anasema anaamini bado anamvuto.
Miaka minne baada ya kifo cha mume wake wa pili , Vogel-Coupe
aliingia katika ukahaba ,kutokana na anachosema ni ukiwa anaosema ndio
sababu ya kumfanya ajiingize kwenye biashara hiyo.Akiwa na uwezo wa kuwaburudisha wateja walau 10-kwa wiki , ameweza kukutana na wateja wengi kuliko unavyoweza kufikiria.Akizungumza kuhusu wateja wake wa kiume, alisema : "kuna kitu wanachokiona kwangu. Ni hisia nzuri. Nafahamu nina mvuto sana."
Bi Vogel-Couple
CHANZO: BBC SWAHILI
Post a Comment