WAKATI
staa wa muvi za Kibongo, Adam Kuambiana akizikwa jana jijini Dar es
Salaam, msanii mwenzake Aunt Ezekiel amekumbuka kipigo alichoangushiwa
na Kuambiana yeye na Wema, wiki chache zilizopita.
Akiteta
na kona hii, jana jijini Dar, Aunt alisema: “Nakumbuka hiyo siku,
tulikuwa location, Mikocheni mimi, Wema, Martin Kadinda na wasanii
wengine tukirekodi filamu ya Wema. Kuna kitu tulikosea, Kuambiana
akatupiga mimi na Wema.
“Alikuwa
makini sana na kazi yake, hakupenda mzaha unapofika muda wa kazi.
Nikikumbuka ile siku huwa namkumbuka sana Kuambiana kwa kweli. Mungu
ampumzishe kwa amani.”
Filed Under:
udaku
on
Post a Comment