Kijana fulani mume wa mtu ametokea kunipenda sana, yani hasikii wala
haambiwi, mpaka sijielewi, mi sitaki kuwa nae coz najua anaweza
kuniletea matatizo na mke wake nasikia ni mtata balaa. Nimejaribu
kumuelewesha lakini wapii hasikii, na hapo sijawahi kumuonjesha,
nikimuonjesha jee..!!
Michepuko noma naogopa mwaya mume wa mtu.
Post a Comment